Mcheza filamu anaekuja juu siku hadi siku kwenye tasnia ya filamu nchini Yuster Nyakachara amesema hajashangaa kuona baadhi ya wasanii wa filamu kuingia kwenye siasa maana mwisho wa siku kila mtu na maisha yake
Akifunguka kiafrika bila hofu yoyote amesema anaamini wasanii kama kioo cha jamii wamefanya mahamuzi sahihi bila kulazimishwa na mtu
“Sishangai wasanii kujiingiza kwenye siasa maana mwisho wa siku kila mtu na maisha yake“
miongoni wa wasanii waliongia kwenye siasa kwa chama cha mapinduzi (CCM) ni pamoja na Wastara Juma,Jacob stephen(JB) Blandina Chagula (JOHARI) na pamoja na Irene Uwoya
No comments:
Post a Comment