Staa wa Bongowood, Blandina Chagula ‘Johari’.
“Kampuni yangu si ya uchochoroni au ya chumbani, nina TIN namba kabisa siyo kama hiyo nyingine, iweje umuulize asiyehusika...”
Baada ya Johari kutamka maneno hayo, waombolezaji waliokuwepo msibani hapo walipigwa na butwaa na kuhoji kulikoni?
Mastaa wa Bongo Muvi akiwemo Chuchu Hans (wa pili kushoto) wakiwa msibani kwa Recho.
Johari amekuwa akidaiwa kuwa na uhusiano na Ray kipindi cha nyuma
huku kukiwa na taarifa kuwa Chuchu ana kampuni iitwayo Chura ikimaanisha
Chuchu na Ray hivyo ilitafsiriwa kuwa alikuwa akiipiga kijembe kwa
madai kuwa haiwezi kufikia levo za RJ.Alipofuatwa na mwanahabari wetu ili kupata ufafanuzi juu ya ishu hiyo, Johari hakuwa tayari kwani alisema ana majonzi ya kuondokewa na kipenzi chake Recho hivyo hakutaka malumbano na watu katika kipindi hiki kigumu.
No comments:
Post a Comment