Friday, May 23, 2014

ANGALIA PICHA TANO WASTARA JUMA NA ISSA MUSSA "CLOUD 112" WAKIWEKA MAUA KWENYE KABURI LA KUAMBIANA MAPEMA JANA




Msanii wa filam Wastara Juma akiweka taji la maua kwenye kaburi la marehem Adam Kuambiana

Wastara amewasili jana kutoka London alipokwenda kikazi

Makaburini ameongozana na wasanii wenzake akiwemo Issa Mussa cloud ambae 


 Wastara Juma akilia makaburin kwa Adam Kuambiana mapema jana


Wastara akiwa na team wastara kwenye kaburi la Adam Kuambiana wakiweka shada la ua



Sharoasla Ally akiwa rafiki yake kwenye kaburi la steven kanumba , Akiwa anaogoza team wastara ambaye pia ni muandishi wa blog ya wastarasajuki.blogspot.com

No comments:

Post a Comment