Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa ‘facebook‘mcheza filamu Batuli ameshindwa kuzuia furaha yake na kumuandikia ujumbe huu Rose Ndauka
Congratulations my daughter, Now umekua kuitwa
mama si jambo dogo, Kuitwa mama ni Baraka
kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu pekee, Wapo
wanaotamani kuitwa mama lakini Mungu
hajawaruzuku, Mlee mjukuu wng kwenye njia
azitakazo Mungu In Shaa Allah. Happy Maulid
Naveen and Ur Mum.
No comments:
Post a Comment