Tuesday, February 11, 2014

Batuli:shikamoo Tanzania

Baada ya kulipotiwa kuwa jeshi la Australia limekamata mzigo wa madawa ya kulevya kwenye pwani ya Tanzania mcheza filamu za kitanzania Batuli amepost pivha hii kwenye mtandao wa kijamii wa facebok na kuandika hivi

Jeshi la Australia limekamata mzigo huu wa
madawa ya kulevya kwenye Pwani ya Tanzania
"Picha kwa Hisani ya Global Publishers (Shikamoo
Tanzania)

Facebook

No comments:

Post a Comment