Mcheza filamu mwenye jina kubwa bongo Amanda Poshy amesema anachukizwa na tabia za baadhi ya watu wanaofatilia maisha yake kwa upande wa mavazi na kumjaji tofauti na wengine kumpa sifa na majina yasio stili mbele ya jamii
Amanda amesema muda wakusemana umepitwa na wakati sasa hivi kila mtu anaangalia maisha yake na yeye kwa mavazi yake aoni sababu ya kujadiliwa kwakua havunji sheria ya nchi
‘mavazi yangu yasifanye watu wanichukulie tofauti mi navaa ninivyojisikia mladi sivunji sheria ya taifa langu basi sasa hayo mambo ya kusemana yamepitwa na wakati sasa hivi kila mtu anaangalia maisha yake‘
No comments:
Post a Comment