Friday, January 17, 2014

Wastara Sajuki:nilikua kimya kwa ajili ya matatizo ndio maana Shaymaa na Last decision zimefatana

Msanii mwenye heshima kubwa nchini Wastara Sajuki amesema amaeanza alikua kimya kwa muda mrefu ndio maana filamu zake Shaymaa na Last decision inayotarajia kutoka hivi karibuni hazijapishana sana

Amesema anaamini mashabiki wake wanahamu na kazi zake ndio maana ameamua kutoa kuwapa radha nyingine

“Last decision ni filamu niliocheza Mwanza imeongozwa na Bond bin sinnan pia yupo Hemed Suleiman na wengine wengi msikose kuinunua“

No comments:

Post a Comment