Friday, January 17, 2014

Mamtei ajifungua mtoto wa pili

Muigizaji wa kike, Cecilia Sospeter ‘Mamtei’ amejifungua mtoto wa kike.
 
Mamtei alijifungua mtoto huyo aliyempa jina la Careen kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jumamosi iliyopita, huku akiwa amezaa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwaye Christopher John.
 
Akizungumza na Ijumaa, Mamtei alisema: “Namshukuru Mungu kwa kujifungua salama, mwanangu anaitwa Careen lakini pia unaweza kumuita Flora.

GP

No comments:

Post a Comment