Thursday, January 02, 2014

Mwaka mmoja tangu kifo cha Sajuki iki ndio amekisema Wastara facebook na instagram


“Nani anaweza kunifanya nitabasamu kama wewe?iman yangu inasema hakuna lakini mungu pekee ndio anayenifanya nitabasam kupitia majaribu na maumivu ninayopitia ila hili la kukukosa wewe ni kubwa kuliko,inauma sana kupoteza faraja ni sawa na kupoteza mwelekeo wa maosha lakini mwaka umetimia bado nikiwa njia panda wewe ukiwa ndani ya mwandani lakini hatuonani mpaka kiyama,mungu akuifadhi inshallah“.

Hayo ni maneno aliyoyasema mwigizaji Wastara leo katika kumbukumbu ya kutimiza mwaka mmoja toka alipofariki marehemu Sajuki. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen.

No comments:

Post a Comment