Sunday, January 19, 2014

Kabuti Onyango:Nimeanzisha kampuni ya filamu kuwasaidia wasanii chipukizi wenye ndoto za kuwa mastaa

Mpiga picha mwenye jina kubwa kwenye tansia kwa hivi sasa kwenye tasnia ya filamu Kabuti Onyango ameanzisha kampuni ya filamu ‘Onyango Production‘kwa lengo la kuwasaidia chipukizi wenye ndoto za kuwa mastaa.

Amesema anaamini kuna chipukizi wengi wenye vipaji lakina wanakosa sapoti hivyo mwaka huu ni mwaka wao kwakua anajitaidi watimize ndoto zao.

Kabuti anauwezo mkubwa wa kumiliki camera na ameshafanya filamu nyingi zinazofanya vizuri sokoni ikiwemo hukumu yangu.

No comments:

Post a Comment