Mcheza filamu za kitanzania Amanda Poshy amesema mwaka huu wa 2014 ni mwaka wake maana mpaka sasa ameshiriki filamu mbili ndani ya mwezi wa kwanza
“Mwaka huu unanipa matumaini maana nimeanza vizuri kiukweli mpaka sasa nimecheza filamu mbili ndani ya mwezi huu wa kwanza natumai huu ni mwaka wangu“
picha chini ni picha Amanda Poshy akiwa location kwenye filamu ya Jani Chaga
No comments:
Post a Comment