Wednesday, January 29, 2014

FILAMU YA MR&MRS SAJUKI YAINGIA KWENYE TUZO ZA ‘ACTION&CUT VIEW CHOICE

Filamu ya Mr&Mrs Sajuki ya Wastara Juma imeingia kwenye tuzo ya ‘action&cut view choice kwenye nafasi nne ambazo mpenzi wa kazi zake unatakiwa kutoa sapoti kwa kumpigia kura

1 Msanii bora wa kike filamu Mr&Mrs Sajuki

2 Filamu bora ya mwaka Mr&Mrs Sajuki

Directar bora Lamata filamu Mr&Mrs Sajuki

Camera man bora Hassana mawambili filamu Mr&Mrs Sajuki

Tuma ujumbe kwenda namba 0782555465

No comments:

Post a Comment