Tuesday, December 10, 2013

Wellu Sengo afurahishwa na filamu ya Vagabond kupewa tuzo za Africa Magic Viewers Choice Award 2014

Wellu Sengo ambaye ni star wa filamu za kitanzania ameonekana kufurahishwa na kushukuru baada ya filamu ya Vagabond ambayo yeye ni mmoja wa waigizaji wakuu kupenya kwenye kipengele cha filamu bora ya kiswahili katika tuzo za Africa Magic Viewers Choice Awards zinazotarajiwa kufanyika mapema mwakani (2014).

Filamu hiyo pia yumo Johari, Hemedy, Mzee Chilo. Wellu ambaye ni mmoja wa actresses wenye mvuto nchini amesema

“namshukuru Mungu kwa nafasi hiyo and I hope Mungu atawezesha itapita, love to my fans and mume wangu amekuwa supportive sana kwangu".

No comments:

Post a Comment