Mwanamuziki na mcheza filamu za kitanzania H.baba ameweka picha ya wasanii wa filamu waliofariki dunia Sajuki,Sharomilionea,kanumba pamoja na mwanamuziki Mangwea kwenye ukurasa wake wa “instagram“nakuandika hivi
“nime mis ushauri wao tuzidi kuwaombea safari yetu ni moja woteee“
No comments:
Post a Comment