Tuesday, December 10, 2013

“nitakukumbuka daima daima Sajuki“Wastara

Mcheza filamu za kibongo Wastara Juma amesema atamkumbuka milele mume wake marehemu Juma Kilowo(sajuki)kupitia ukurasa wake wa “facebook“na “instagram“ameweka ujumbe kuwataka watanzania wawe nae pamoja kwenye dua itakayofanyika mkoani Songea mapema mwakani

“Siku week mwezi hatimae mwaka unaingia tokea unikimbie mikononi mwangu,mwetu milele nitakukumbuka daima nahisi uko sehemu nzuri unanisubiri

Tarehe 2.1.2014 my blood anatimiza mwaka tokea atutoke katika dunia,nawaomba tuwe pamoja katika duwa itakayofanyika mkoani songea kokote ukipo inua mkono kumuombea juma kilowoko a.k.a sajuki mboni ya wastara“amesema

No comments:

Post a Comment