Tuesday, November 26, 2013

Soma alichoandika mcheza filamu Amanda Poshy kwenye mtandao wa “facebook“kuhusiana na marehem Sharomilionea

Ilikuwa mwezi wa kumi na moja..tarehe kama ya leo 26 mwaka 2012 ..ndugu yetu...rafiki yetu...kaka yetu..kipenzi chetu...SHAROMILIONEA ulipoaga dunia saa mbili usiku kwa ajali ya gari...kila nikikukumbuka napoteza furaha..hasa nikikumbuka ucheshi wako na matani yako naumia sn...nashindwa kuangalia nyimbo zk na movie tuliyocheza pamoja..sina mengi ila kikubwa nakuombea upumzike kwa amani..Mwenyezi Mungu akuepushie adhabu za kabri ...nitakukumbuka siku zote..nitakupenda siku zote...RIP HUSSEIN MKIETY(Sharomilionea)

No comments:

Post a Comment