Soma alichoandika muigizaji Riyama Ally kwenye mtandao wa “instagram“ kuhusiana na baba yake siku ya kuzaliwa
“nakuombe kila la kheri katika maisha yako yote baba yangu mungu akuzidishie mapenzi na huruma kwa watoto wako,unamoyo wa kipekee kwa kutulea sisi wote bila kutubagua mungu akubariki sana happy birthday baba kipenzi mungu akujalie umri mrefu
No comments:
Post a Comment