Thursday, September 25, 2014

Wema Sepetu:Wanaoniponda Wengi Wao Wanatumia Tecno na Huawei

Katika hali iliyoshangaza wengi,beautiful oninye mwenye endless fame mnyange Wema Sepetu amesema watu wengi wanaomsema kwenye mtandao they don't have life na wengi wao wanatumia Tecno na Huawei kulog in kwenye mitandao ya kijamii na kuanza kumponda,

 akichezesha taya na Ephraim Kibonde katika kipindi cha jahazi amesema watu hao hawampi shida hata kidogo kwani wamepigika na yupo juu zaidi yao.

1 comment:

  1. Hao wanaotumia Techno na Huwawei ndo wamefanya wewe ujulikane hapo nyumbani tanzania... anapondwa Beyonce, Rihana, nikki minaj... Itakuwa wewe wema.... Ni kosa kubwa kwa mtu anaetegemea jamii kama wewe kutamka maneno ya kejeli kama hayo... Nakurekebisha tu my sister najua am nothing to you aswell coz hata mimi natumia Techno but si jambo la kheri.... Always mti wenye matunda hupigwa mawe.... Ameyasema hayo mumeo mtarajiwa.... So take it for granted wema... Binafsi i love you sooo much... Me and my fellow students here in turkey we love bongomovies we love bongoflavas... God bless Tz God bless Wema, God bless wastara... Nawapenda

    ReplyDelete