Thursday, September 25, 2014

WASTARA JUMA:KAMA WEWE NI SHABIKI WA FILAMU ZANGU NA UNAMAPENZI YA DHATI KWANGU BASI TWENDE SUN RISE BEACH KIGAMBONI

Mcheza filamu wenye jina kubwa Tanzania na Afika mashariki Wastara Juma amesema kama kweli mashabiki wake wanamapenzi ya dhati na kazi anayoifanya basi anaomba waoneshe mapenzi yao kwa kumpigia kura kwenye tuzo za action and cut amabazo zinafikia tamati jumamosi hii kwenye ukumbi wa sun rise beach kigamboni

Wastara amesema jinsi ya kumpigia kura ni kuandika neno BAS3 kisha tuma namba 15678 kwa mtandao wowote Tanzania

Mbali na zoezi la kupiga kura Wastara amesema siku ya tuzo hizo ambayo ni jumamosi hii kwenye ukumbi wa sun rise beach hakuna kadi ila kila msanii amepewa utaratibu wa kuwapa kadi mashabiki wake Wastara anasema
'Binafsi kama unataka kuja kunisapoti mimi basi kuna mtu ambae anausika na kadi hivyo unaweza kumcheki kwa whatSapp 0765826555au ukampigia kwa namba 0764 547 381 atakupa maelezo jinsi ya kupata kadi

No comments:

Post a Comment