Tuzo za action and cut viewers choice zinafanyika jumamosi hii kwenye ukumbi wa sun rise beach kigamboni
tuzo hizo ambazo ziatusisha wasanii waliopendekezwa na watazamaji wa kipindi cha action and cut hazina kiingilio ila kuna kadi amabazo zinatolewa kwa mashabiki
na iki ndio amekisema Bond kwenye ukurasa wake wa facebook
Fursa kwa Watanzania kuandika Historia. Pamoja tunaweza na Tutafanikiwa kwa nguvu moja ya kupeleka Tasnia mbele
No comments:
Post a Comment