Monday, July 14, 2014

"TEAM WASTARA"WAMFANYIA "SUPRISE"YA FTARI WASTARA


Team inayo kiki kwa hivi sasa mjini na kutishia amani karibu bongo movie yote kwa kujitoa kwao kwenye shughuli mbali mbali za kijamii "team wastara"inayoongozwa na staa mkubwa wa filamu Tanzania Wastara Juma Issa imemfanyia saplaizi ya futari staa huyo na kumuacha kinywa wazi
Akifunguka kiafrika bila hofu yoyote mmoja wa mtu wa karibu na timu hiyo amesema siku ya jumamosi ikiwa zimebaki dakika 45 waislamu wapate futari mmoja wa mwanachama wa timu hiyo ambae anaheshimika sana alinyanyua simu yake na kumuomba staa huyo kwenda Buguruni sheli halaka uku akimdanganya kuna tukio limetokea


Inadaiwa kuwa Wastara alikua akitokea maeneo ya Tazara ndipo alipowai alipoelekezwa ambapo alipofika alishangaa kuona umati mkubwa wa wana timu wakiwa wanamsubili kwa bashasha zote staa huyo




 Baada ya ftari hiyo Wastara alishindwa kujizuia nakuoa shukrani kwa wana team kwa kumfanyia tukio hilo la kiistoria

No comments:

Post a Comment