Mwenyekiti wa bongo movie Unity, Steve Nyerere amechukizwa na watu wanaotumia mitandao vibaya na kwa kumzushia kuwa ni shoga.
Steve Nyerere kupitia akaunti yake ya facebook ameandika:
Napenda kuchukua fursa hii kuongea machache na kama mtaboa mtu
naomba samahani najua binadamu tumezaliwa tofauti sana kuna wale
wanaogopa zambi na kunawale wanopenda zambi mimi daima nasema izo ni
changamoto tuuu ok nimepata taarifa umu umu kwenye mitandao yetu ya
kijamiii hususani huuu kwamba kuna binti anaitwa zainab ananichafua na
kuniandika mambo ambayo ayana tija kwangu. Nazani ata kwake kwamba mimi
shoga anauhakika hahahahaha nimecheka sana kupata izi taarifa nataka
kuwapa taarifa ndugu zangu kuna msemo unasema mti wenye matunda ndio
unaopigwa mawe na mkanya mara moja aache mara moja kwani naimani
anapoteza muda tu habari hizo si zakweli kabisa ila namtakia laheli
kwahili jambo analonitendea mimi nasema namwachia mola akumbuke nafamily
mke na watoto mama dada zangu kiukweli najisikia vibaya sana mi nasema
asante”
No comments:
Post a Comment