Mcheza filamu za kitanzania mwenye heshima kubwa chini Wastara Juma Issa amesema sababu ya kuita filamu yake mpya jina la kighaibuni "Last Decision',ni kutokana na tafasiri ya neno ilo kuwa refu hivyo kuona lisingevutia
"Wastara amesema ni hulka ya filamu kote dunian kuna majina ya lugha ya nchi fulani huwa yanakataa kabisa kubaki kwenye hasiri yake ndio maana tunaamua kutumia lugha ya kimataifa"
Hivi karibuni staa huyo anatarajia kuachua filamu hiyo akiwa na mastaa kibao na wasanii wengine kutoka jiji la Mwanza amabo wameonesha uwezo mkubwa sana utakiwi kukosa
Filamu hiyo imeongozwa na muogozaji wa filamu mwenye tuzo za uongozaji bora Bond Bin Sinnan ambae pia ni meneja wa Wastara Juma
No comments:
Post a Comment