“Futari napikiwa na mama yangu mzazi kwa sababu mwenzangu bado sijafunga naye ndoa, mwanangu akitaka kuniona analetwa nyumbani na mtu anakaa wiki anarudi kwa mama yake,” alisema Mlela ambaye kwa sasa wanafanya kazi pamoja na Hemed Suleiman inayoitwa Enjoy ambayo ni kwa ajili ya kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
Wednesday, July 09, 2014
MFUNGO WAMZUIA MLELA KWA MPENZIWE
NYOTA wa filamu Bongo, Yusuph Mlela hataweza kuonana na
mpenzi wake ambaye pia ni mzazi mwenzake kutokana na mfungo wa mwezi
mtukufu wa Ramadhan.
Mlela alisema amekuwa na desturi ya
kwenda kwa mzazi mwenzake kila siku kwa ajili ya kwenda kumuona mwanaye,
Mwantumu lakini kwa mwezi huu itakuwa ngumu kutokana na misingi ya dini
yake.
“Futari napikiwa na mama yangu mzazi kwa sababu mwenzangu bado sijafunga naye ndoa, mwanangu akitaka kuniona analetwa nyumbani na mtu anakaa wiki anarudi kwa mama yake,” alisema Mlela ambaye kwa sasa wanafanya kazi pamoja na Hemed Suleiman inayoitwa Enjoy ambayo ni kwa ajili ya kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
“Futari napikiwa na mama yangu mzazi kwa sababu mwenzangu bado sijafunga naye ndoa, mwanangu akitaka kuniona analetwa nyumbani na mtu anakaa wiki anarudi kwa mama yake,” alisema Mlela ambaye kwa sasa wanafanya kazi pamoja na Hemed Suleiman inayoitwa Enjoy ambayo ni kwa ajili ya kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment