Wednesday, July 09, 2014

HEMEDY;NIMETUMIA MPAKA UWEZO WANGU WA ZIADA KWENYE "LAST DECISION"YA WASTARA

Mcheza filamu za kibongo Hemedy Suleiman amesema ametumia mpaka uwezo wake wa ziada kwenye filamu mpya ya Wastara Juma inayoitwa Last Decision
 Akifunguka kiafika bila hofu yoyote kwa kua yupo nchi huru amesema kwenye filamu hiyo ameonesha uwezo mkubwa sana ukizingatia Wastara ni msanii wa kubadilika badilika sana hivyo unapocheza nae inaitaji umakini mkubwa
 "hii ni mara ya pili nacheza filmu na Wastara na nimefurai kukutana nae humu naomba mashabiki wetu wakae mkao wa kula maana nimeccheza kwa kiwango kikubwa sana"amesema Hemedy


Filamu ya Last decision imechezewa jiji la Mwanza na imeshirikisha vipaji kibao uku ikiongozwa na muongozaji mahili wa filamu nchini Bond Bin Sinnan,usikose kuchukua nakala yako punde itakapo kua mtaani

No comments:

Post a Comment