Thursday, April 10, 2014

LULU ALIA NA MATAPELI WANAOTUMIA JINA LAKE FACEBOOK

Msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘ Lulu ’ .
Msanii wa filamu Elizabeth Michael
‘Lulu ’ . amesikitishwa na watu wanaotumia
akaunti fake za mitandao ya kijamii yenye
jina lake na kuchangisha michango kwaajili
ya mfuko wa marehemu Steven Kanumba
kwa madai kuwa wanasaidia wasiojiweza.
Akaunti feki ya Lulu katika mtandao wa
kijamii wa Instagram .
Baadhi ya matukio yaliyotupiwa katika
akaunti hiyo feki.
Kupitia Instagram , Lulu amesema :
“ Dah sijui niseme vipi…hizi facebook
accounts sio zangu…kama huyu anaomba
michango eti …dah the same account ipe
post video ya ex …. .na ziko account nyingi
sana….now mm sina account yoyote
facebook nina fan page moja tu ELIZABETH
LULU MICHAEL…. kwahiyo kuweni makini na
hao matapeli…na nyie mnaotumia jina langu
vibaya I thnk it[ s time to leave me alone …
kwa hayo mapenzi ya kutumia jina langu
ovyo nimeshindwa mm …..”
Hiki ndicho alichokiandika Lulu kupitia
akaunti yake origino ya Instagram .

No comments:

Post a Comment