Thursday, April 10, 2014

FLORA: MTOTO KAVUNJA URAFIKI WETU NA NISHA

STAA wa sinema za Kibongo , Flora Mvungi
amefunguka kuwa ubize wa kulea mwanaye
ndiyo umemfanya avunje urafiki na shosti
wake , Salma Jabu ‘ Nisha’ .


Flora alifunguka hayo juzikati baada ya
paparazi wetu kumuuliza juu ya taarifa
zinazodai kuwa wawili hao wamepishana
kauli na kila mmoja kuishi kivyake.
“ Sina tatizo kiivyo na Nisha lakini labda
niseme tu mtoto ndiye amenifanya mimi na
Nisha tuwe mbalimbali, hakuna kingine , ”
alisema Flora

No comments:

Post a Comment