"R.I.P RAFIKI YANGU
MPENDWA.. MIAKA 2 SASA.. HAUKO TENA NASI
NA HAITOTOKEA... UMEKUA MTAJI KWA WALIO
HAI... BADALA YA KUOMBEWA DUWA WATU
WANASHEREHEKA KWA MABENDI KUYAALIKA
HUKU VIINGILIO VIKITAWALA... AMA KWA
HAKIKA UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA
FIRAUNI.... HUKO ULIKO SALAMU ZANGU
NAZITUMA... KWA SASA FILAMU ZINAUZWA KWA
MAJINA NA SURA NA SI UWEZO... YOTE KWA
YOTE SOKO LA FILAMU LIMEKUFA BONGO....
ZANGU DUA ZITAKUFIKIA NA MUNGU MWENYE
SIFA YA KUSAMEHE AKUSAMEHE.. NA
WANAOFANYA DHIHAKA JUU YA HILI NAO
AWASAMEHE.... HAKIKA.. KWA MUNGU SOTE
TUTAREJEA.... NINA MENGI.. LAKINI KWA HAYA
MACHACHE WACHA TUU NIJIFUTE CHOZI NA
DUA KUKUOMBEA.... R.I.P RAFIKI YANGU
MPENDWA STEVEN CHARLES KANUMBA"
MPENDWA.. MIAKA 2 SASA.. HAUKO TENA NASI
NA HAITOTOKEA... UMEKUA MTAJI KWA WALIO
HAI... BADALA YA KUOMBEWA DUWA WATU
WANASHEREHEKA KWA MABENDI KUYAALIKA
HUKU VIINGILIO VIKITAWALA... AMA KWA
HAKIKA UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA
FIRAUNI.... HUKO ULIKO SALAMU ZANGU
NAZITUMA... KWA SASA FILAMU ZINAUZWA KWA
MAJINA NA SURA NA SI UWEZO... YOTE KWA
YOTE SOKO LA FILAMU LIMEKUFA BONGO....
ZANGU DUA ZITAKUFIKIA NA MUNGU MWENYE
SIFA YA KUSAMEHE AKUSAMEHE.. NA
WANAOFANYA DHIHAKA JUU YA HILI NAO
AWASAMEHE.... HAKIKA.. KWA MUNGU SOTE
TUTAREJEA.... NINA MENGI.. LAKINI KWA HAYA
MACHACHE WACHA TUU NIJIFUTE CHOZI NA
DUA KUKUOMBEA.... R.I.P RAFIKI YANGU
MPENDWA STEVEN CHARLES KANUMBA"
Stephen Kanumba, may the Lord Rest Your Soul in Eternal Peace.
ReplyDeleteAnd thanks going out to Queen WASTARA JUMA ISSA.