Wastara,JB,Irene Uwoya,Aunt Ezekiel, Majuto na Mboto wanatarajia kuwasili jijini Mwanza kwa ajili ya matamasha mbalimbali ikiwemo la kusaka wasanii chipukizi wenye uwezo wa kuigiza
Wasanii hao wenye majina makubwa bongo wanaingia jijini humo kuanzia tarehe 28/3/2014 ambapo watukuwa villa park club usiku
29/3/2014 watakuwa CCM kilumba kutakuwa na usahili wa kutafuta vipaji kuanzia saa 3 asubuhi mpaka mchana kutakuwa na mechi kati ya boda boda na machinga atakayeshinda anacheza bongo movie
kitachofuta ni ngumi kati Uwoya na Aunt Ezekiel uku wastara akiwa refaa
Usiku wa tarehe 29 watakuwa golden creast na wafunga tai na red carpet itakuwepo
Tarehe 30 watakuwa Naura kupart na watoto kibaooo toto show karibun
No comments:
Post a Comment