Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Slim Omar
amefunguka kuwa mastaa wengi wa kike
Bongo Movies wanajitongozesha wenyewe .
Akifunguka kwa sharti la kutowataja majina
wahusika , alisema anayo listi ndefu ya
mifano ya wasanii ambao wanapenda
kujitongozesha hivyo ni vyema wakaacha
maana siyo tabia nzuri .
“ Ni aibu kwa mastaa wa kike , niwasihi
waache hako kamchezo maana
kanawashushia heshima mbele ya jamii ,
wasinichukie, naongea ukweli , ” alisema Slim.
No comments:
Post a Comment