Thursday, March 06, 2014

SHILOLE:BABY MADAHA HAJIELEWI

STAA wa Mduara Bongo, Zuwena Mohamed
‘Shilole’ amemfungukia msanii mwenzake,
Baby Joseph Madaha kwamba hajielewi.
Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
Shilole ametoa kauli hiyo siku chache baada
ya kuchanwa gazetini na Baby Madaha kwa
kuambiwa kuwa yeye ni mcheza vigodoro.

“Sitaki kabisa kumsikia huyo Baby Madaha,
hanisaidii chochote kile katika maisha na
kazi zangu pia sioni sababu ya kupigizana
naye kelele, mtu mwenyewe hajielewi,”
alisema Shilole.
>>>>GPL

No comments:

Post a Comment