Sunday, March 23, 2014

RIYAMA AJIVUNIA KUPUNGUA UNENE



MIEZI michache baada ya kutoka
kujifungua, staa wa sinema Bongo, Riyama
Ally (pichani ) amefunguka kuwa amefurahia
kupungua unene kwa mazoezi aliyoyafanya
kwani sasa ameanza kuigiza .




Akizungumzia mikakati yake mipya, Riyama
alisema: “ Bila kupungua nisingeweza kuigiza
kama zamani , sasa nimeigiza sinema ya
Likwata .”

No comments:

Post a Comment