Sunday, March 23, 2014

WOLPER :NAOGOPA KUZAA

MKALI wa sinema za Kibongo , Jacquline
Wolper amefunguka kuwa anaogopa kuzaa
kwa sasa kwani bado hajajipanga sawasawa


Akizungumza na paparazi wetu , Wolper
alifafanua:
“ Naogopa kuharakisha kuzaa , nisije nikazaa
halafu mtoto akawa chokoraa, acha
nijipange kwanza "

No comments:

Post a Comment