BRAZAMENI mwenye swaga za utozi
kwenye soko la filamu Bongo, Hemed
Suleiman ‘ PHD’ amewataka wanawake
wanaommendea kukaa naye mbali kwani
tayari anajiandaa kumuoa mpenzi wake
aliyemtaja kwa jina la Muna .

Kuonesha msisitizo , Hemed alifunguka :
“ Mambo ya ujana nimeyaweka kando,
nimeamua kuoa kabisa maana ukiendekeza
mambo ya ubachela siyo mazuri sana,
vidosho viniache .”
kwenye soko la filamu Bongo, Hemed
Suleiman ‘ PHD’ amewataka wanawake
wanaommendea kukaa naye mbali kwani
tayari anajiandaa kumuoa mpenzi wake
aliyemtaja kwa jina la Muna .

Kuonesha msisitizo , Hemed alifunguka :
“ Mambo ya ujana nimeyaweka kando,
nimeamua kuoa kabisa maana ukiendekeza
mambo ya ubachela siyo mazuri sana,
vidosho viniache .”
No comments:
Post a Comment