Friday, March 21, 2014

MAINDA:BORA NIZAE

[image_0
MUIGIZAJI wa ‘longtime ’ katika tasnia ya
filamu Bongo, Ruth Suka ‘ Mainda ’
amefunguka kuwa bora azae kwani kutozaa
kwake kunamfanya aumwe mara kwa mara


Akizungumza na papazi wetu , Mainda
alisema amegundua kuwa ili apone ugonjwa
wa chango unaomsumbua mara kwa mara
ameshauriwa na madaktari azae ndiyo
itakuwa suluhu.
“ Ugonjwa huu wa chango unanitesa sana,
nimevumilia sasa nimechoka , nahitaji
kupumzika na ili nipumzike inanibidi nizae
tu kwani haya mateso nimeshayachoka, ”
alisema Mainda

No comments:

Post a Comment