Sunday, March 23, 2014

DAVINA AJIFUA KUOGOPA KUACHIKA

Halima Yahya ‘ Davina ’, staa wa sinema
Bongo, amefunguka kuwa anajitahidi
kufanya mazoezi ili mwili wake usizeeke
akaachika kwa mumewe .




Akipiga stori na paparazi wetu , Davina
alisema mikakati yake ni kuhakikisha ndoa
yake inashamiri miaka yote .
“ Sikubali kuachika, siri ya kulinda ndoa
yangu ni mazoezi tu, acha nijifue mwanzo
mwisho, ” alitamba Davina.

No comments:

Post a Comment