Mcheza filamu za kibongo Yuster Nyakachara amesema mbali na kuandaa movie pia yeye ni mchezaji wa ngoma za asili hapa nchini
Yuster amesema anaongoza kikundi cha ngoma kinachoitwa dar creators ambacho kinatoa burudani kwenye matamasha mbali mbali nje na ndani ya bongo
Pia kikundi hicho kila ijumaa kinatoa burudani Mikocheni resort centre
No comments:
Post a Comment