Mcheza filamu wa kike mwenye jina kubwa bongo Wastara Sajuki usiku wa kuamkia leo amepata ajali ya gari akitokea sheri kununua mafuta na kupata maumivu ya kichwa.
Wastara amesema alishangaa kuona gari lake likibamizwa pembeni ambapo likadumbukia kwenye mfereji na yeye kujigonga kichwani
“Mimi ninachokumbuka nimetoka sheri vizuri lakini gafla kama gari langu lilibamizwa na gari nyingine na kutumbukia kwenye mfereji“
Pole mpendwa Mungu akupe nafuu, mimi Penda sana wewe,,,,team wastara for life
ReplyDelete