‘Camera man‘ mwenye uwezo mkubwa bongo movie Kabuti Onyango amemshukuru mcheza filamu na mtangazaji wa kipindi cha ‘action&cut‘ Bond Bin Sinnan kwa kutambua huwezo wake na kumuweka kwenye tuzo za ‘action&cut‘mwaka huu
“Namshukuru sana bond kwa kunikumbuka kwenye nominee ni kitu kikubwa kwangut Sijawahi kuingia kwenye mashindano yoyote mwaka huu ndio wa kwanza“
Kabuti ameingia kwenye kipengele cha
BEST D.O.P
Kabuti Onyango (TIKISA)
Farid Uwezo (TWISTED)
Hassan Maimbari (Mr & Mrs SAJUKI)
Rashid Mrutu ( APLE)
Timothy Conrald ( NGUVU YA IMANI)
Ili kupiga kura andika mfano
BEST D.O.P Hassani Maimbari(Mr&Mrs Sajuki) kisha tuma kwenda namba 0782 555 465
No comments:
Post a Comment