Friday, February 07, 2014

Baada ya baadhi ya mastaa wa bongo movie kuingia kwenye siasa iki ndio wamekisema wenzao

Baada ya hivi karibuni mastaa wenye majina makubwa kwenye tasnia ya filamu kujiunga na chama tawala CCM na kuonesha mapenzi ya dhati na taifa lao baadhi ya mastaa wameongea na blog hii na kutoa mawazo yoa kama ifuatavyo

YUSTER NYAKACHALA

“Aaaaah kila mtu Ana utashi wake na. Ndoto zake siwezi kumjaji mtu lkn.nawapongeza kwa chaguo la chama walichoingia ni sahihi“

BOND BI SINAN

“Mi kwa upande Wangu siipendi siasa ila siwezi washangaa hao walioingia katika siasa kwa sababu Ni moja ya kazi pia. Siasa Ni ofisi za watu wanaoziweza ofisi zao na kazi hizo so kwa wana sanaa kujiunga na siasa maanake wanajaribu kazi nyingine“

RIYAMA ALLY

“Mimi na siasa ni vitu viwili tafauti ila kama raia wa tanzania nina haki ya kuwa na chama nikipendacho na chama changu ni ..,... lakini mradi nafata taratibu na sheria za nchi  na muongozo wa katiba  kwangu vinatosha lakini si“

No comments:

Post a Comment