Siku za hivi karibuni watu maarufu nchini wamekua wakipata tabu wanapotakwenda nje ya nchi kutokana na kupekuliwa sana mizigo na sehemu mbali mbali za miili yao kwa kuofiwa wanabeba madawa ya kulevya
Blog hii iliwatafuta baadhi ya mastaa kutaka kujua wanalionaje swala ili ambao wengi walionekana kutokua tayari kusema chochote
Lakini kwa upande wake Yuster Nyakachara alisema hapendi kuona madawa hayo yanaendelea kuwepo duniani
“madawa sitaki hata kuyazungumzia huwa nahisi nafanyia promotion kitu nisichotamani kiendelee kuwa duniani“
No comments:
Post a Comment