Tuesday, January 07, 2014

Claud 112 awakutanisha Kajala Masanja na Amanda Poshy ndani ya filamu ya Sim Card

Mcheza filamu kutoka bongo movie Claud 112 kwa mara ya kwanza amewakutanisha nyota wawili Amanda Poshy na Kajala Masanja ambao wamezoea kuitana mapacha kutokana na baadhi ya watu kuwafananisha

Claud amewakutanisha ndani ya filamu yake mpya ya Sim Card ambayo bado inashutiwa

Cheki picha wakiwa location warembo hao

No comments:

Post a Comment