Morning...new film ya Bond bin Sinnan..Uaminifu dhaifu inatoka soon...humu ndani nimekua mpya...nimetumia uwezo mpaka wa ziada...nimevaa nguo ambazo sijawai kuvaa kwenye filamu yoyote nimecheza vipande ambavyo sijawai kucheza tena kwa kiwango kikubwa
Story inaweza kumbadili msanii na mm nimebadilika
New film#new Wastara in Uaminifu dhaifu...imeongozwa na Bond Bin Sinnan
No comments:
Post a Comment