Baada ya Wastara Sajuki Queen wa Bongo movie kuanzisha team yake team wastara kwa lengo la kumsapoti kwenye kazi zake na kumshauri atimae watanzania wanaoishi nchini Marekani wameamuo kuanzisha team wastara kwa lengo la kumsapoti
Akipiga stori na blog hii Wastara amesema
“mi nimefurahishwa na team wastara from america bonge la habari bonge la suprise kwangu huyu jamaa anaitwa Mausoud Nasoro anaishi Marekani amewakusamya watanzania nakuanzisha team wastara
No comments:
Post a Comment