WASTARA SAJUKI
MSANII wa kundi maarufu la vichekesho na uigizaji la Futuhi, Mzee Dude amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Rufaa Bugando iliyopo jijini Mwanza leo jioni! Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN!
No comments:
Post a Comment