Thursday, January 23, 2014

Cheki picha ya Wastara akimpa adhabu mwanafunzi baada ya kumkuta anatumia simu darasani

Wastara Sajuki anaweza kuvaa uhusika wa aina zote hii picha ni moja ya vipande ambavyo Wastara ataonekana kama mwalimu kwenye filamu mpya inayotoka hivi karibuni

No comments:

Post a Comment