To Kajala,
"I call her me corazon, my bff nd nothing is
gona come btn us.... nampenda sana rafiki
yangu na sitoacha... hakuna kitu cha kajala
nisichokijua... you guys can say anything or
watever u want to but i know my frend.... eti
anatembea na clement dah wabongo... okay fine
basi hata kama amgekuwa anatembea nae
ukweli so wat... dont try to destroy ma
friendship na wakati hamjui tumetoka wapi,
mimi na kajala.... na hizi account mnazofungua
jus because of kuharibu naanza kukereka nazo
saaaana... tukaneni tu maana nshazoea kuona
matusi but sio kuongea uongo usio na kichwa
wala miguu... maana nikisema nikae kimya it
will be like nachekelea this thing... well im nat
happy na sijapenda hata kidogo.... Kay, u dont
need to be depressed abt anything... kitu
kisicho na ukweli kisikupe taabu.... im too mad
yaani.
Thursday, February 13, 2014
Soma alichokisema Wema Sepetu kuhusiana na Kajala kudaiwa kutembea na kibosile Clemet
Labels:
bongo actress
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment