Monday, December 30, 2013

Wolper ni zaidi ya msanii anajua anachokifanya anajua:Yuster Nyakachara

Mmiliki wa kampuni ya Eagle Intertinment Yuster Nyakachara amesema Jackline Wolper anauwezo mkubwa wa kuingiza ndio maana ameamua kufanya nae kazi yake ya kwanza Majuto si hasira

Nyakachara amesema kwenye filamu yake yupo wolper na Slim na wengine wengi na kuongeza kuwa kwenye tasnia kuna wengi wanafanya vizuri lakini amenza na Wolper kwakua anajua anachokifanya na amevutiwa nae siku nyingi

No comments:

Post a Comment