Monday, December 30, 2013

Baada ya shaymaa sasa ni Last decision:Wastara Sajuki

Mcheza filamu za kitanzania Wastara Sajuki amesema baada ya shaymaa kuingia mtaani sasa ni zamu ya filamu yake mpya Last decision hivyo anaomba mashabiki waipokee kwa hamu

No comments:

Post a Comment