Friday, December 27, 2013

Wastara na timu yake “team wastara“kuwaongoza watanzania kwenye dua maharumu ya kumuombea Sajuki kesho asubui kwenye makaburi ya kisutu

Mcheza filamu za kitanzania Wastara Sajuki na timu yake “team wastara“kesho wanatarajia kuungana na watanzania kwenye dua maharumu ya kumuombea marehemu mume wake Juma Kilowoko (Sajuki) kwenye makaburi ya kisutu Dar es salaam

Dua hiyo inatarijiwa kuanza saa tatu asubui na wakazi wa Dar es salaam mnatakiwa kufika kwa ajili ya dua hiyo

“mimi na team yangu team wastara kesho tutakuwa na dua ya kumuombea mume wangu kwenye makaburi ya kisutu naomba watanzania wote mje ila dua lasmi ni 2.01.2014 itakayofanyika mkoani Songea

No comments:

Post a Comment